Fitness Empire

ZIJUE FAIDA ZA KUTENGEZEZA MUONEKANO KWA MWANAUME {FITNESS BODY}


Wakati mwingine muonekano wa jinsi tunavyoonekana huwa ni kero na tatizo kubwa sana katika mizunguko yetu ya Maisha.unawezaje kuendana na karne ya kipindi hiki kama bado uko nyuma kwenye maswala ya afya na kuweka muonekano wako ukawa nadhifu {SMART & FIT} KAZI zetu nyingi hutgemeana na uimara wa afya na unadhifu wetu kuanzia mavazi hadi miili yetu
Yawezekana unatamani sana kuwa na muonekanpo mzuri lakini hufahamu au hujui kuwa muonekano wako nadhifu na kuwa smart kimwili na kiakili kunaweza kukurahisishia kazi zako na kupata connections za kazi mbalimbali .kwani mara nyingi muonekano wa mtu humsaidi Zaidi katika ufanyaji wa kazi kwa kutegemeana na wepesi na uharaka katika kazi,ni rahisi sana kupata kazi au DEAL yenye faida endapo utakuwa Nadhifu na mwili wenye muonekano mzuri {FITNESS BODY}
Utengenezaji wa mwili {FITNESS BODY} unafaida nyingi sana kwani kupitia mwili mzuri wenye mazoezi na nazifu ni rahisi kupata na kuepuka baadhi ya vitu vingi Zaidi

HIZI HAPA FAIDA ZA KUWA NA MUONEKANO MZURI {FITNESS BODY}
Tunakuletea faida ambazo wewe kama mwanume utazipata kwakuwa na fitness body,zipo nyingi sana ili kuna ambazo ni kuu kabisa na zenye manufaa Zaidi kwa maisha yako ya sasa na baadae,Ni kusifahamu ili ujue kama utakuwa na fitness body ni vitu gani ambavyo kwako havitakuwa tatizo kabisa na maisha yako kuwa kwenye mtiririko mzuri na wenye kuvutia Zaidi,najua unatamani kuzifahamu haswa kwani shauku kubwa ni kujua nini utafaidika pindi utakapo kuwa na fitness body
1: MFUMO WA MAISHA {LIFESTYLE}
Miaka hii ya sasa kazi nyingi zinategemea na sharpness ya mind pamoja na mwili,Unapoutengeneza mwili wako kuwa kuwa kwneye {fitness body} unakuwa na nafasi Zaidi katika kwenda na muda na kufanya kazi nyingi kwa uharaka Zaidi na Zaidi,kwani kila kitu kiko sawa ,hii inakuwa rahisi kuendana na lifestyle ya sasa hii ,hii inakuongezea sifa katika utendaji wa majukumu yako ya kila sikukwasababu una {fitness body}

2: KUEPUKA MAGONJWA MENGI {DISEASES}{misuli/mifupa/stress/sroke/homa/unene/uzito}
Magonjwa kama presha,stroke ,uchovu wa mwili ,matatizo ya mifupa na misuli ,uzito uliopitiliza na mengine mengi,Ni nadra sana kupata matatizo haya kwasababu ni mtu unayezingatia vingi kuanzia afya hadi mazoezi yenyewe,ili upate fitness body lazima ufanye mazoezi na upangilie mifumo ya vyakula pia

3: UTIMAMU/UHARAKA WA AKILI { SHARPENESS MIND}
Upokuwa na fitness body hata MIND/AKILI yako inakuwa vizuri na haraka katika kufanyakazi na kufikiri pia,Hii huchangiwa na kila kiungo kuwa katika sehemu na mahala husika Zaidi,kila kiungo kiko sawa kikamilifu kufanyakazi ndani ya mwili na kupelekea akili kufanyakzi nyingi kwa muda mfupi kwani hutumia muda mfupi kumaliza kazi nyingi , hii nikutokana na akili kuwa katika hali nzuri hasa kimazoezi Zaidi

4:MAVAZI CLOTHING}
Hii ni moja faida ya kuwa na { FITNESS BODY} kwani wengi huteseka kupata outfits za nguo mbalimbali kutokana na miili yao kuwa katika shapes/mionekano isiyo kuwa vizuri,,,,Watu wengi hukosa kuvaa vitu vingi vizuri kutokana na kutokuwa na MUONEKANO MZURI WA KIMAVAZI ,njia pekee ni ni kufanya mazoezi na kuhakikisha unakuwa na mwili ambao utakufanya uweze kuvaa vitu vingi kama mavazi na mengine mengi ilikuwa {fashionable} Zaidi hii inamaanisha kuwa na uhuru wa kuvaa utakacho kulikana na eneo/mahala husika na kuendana na wewe jinsi ulivyo na upendavyo ,CHUKUA HATUA SASA

MUDA {TIMING}
Ni rahisi sana mtu ambaye yuko viziri kimazoezi na ana {fitness body } kuweza kuendana na muda kwani kupitia mazoezi na kuewa na sharpeness mind ni rahisi kutunza na kuzingatia muda Zaidi kwani anajua wapi awepo kwa wakati gani na kwanini,Mazoezi yanabaki kuwa njia pekee ya kupata mwili mzuri { fitness body} hasa wewe mwanaume au mvulana wa sasa hivi ni muda wako sasa kuhakikisha kuwa unapata muonekana wa mwili uupendao Zaidi {FITNESS BODY}