Fitness Empire

Smoothie ya mchanganyiko wa Protein,ndizi na strawberry

Huu ni mchanganyiko mzuri baaa ya mazoezi,au shughuli nzito za siku
Itasaidia kuurudisha mwili katika hali nzuri

Mchanganyiko wa ndizi unaongeza ladha,na kuifanya iwe nzito zaidi,ndizi pia zina mkusanyiko wa vitamin na mineral nyingi muhimu,smoothie ni nzuri kuitumia baaa ya mazoezi (post-workout)
Pia unaweza changanya kidogo na flaxseed kupata healthy fat katika smoothie yako

Jinsi ya kutengeneza
4 oz.strawberries
1 oz. of banana
1 kijiko kimoja cha protein whey
1 kijikoo kimoja cha flaxseed
Maji

  1. Weka mchanganyiko wako katika blenda na ublend mpaka mchanganyiko wako ukae vizuri
  2. Weka maji pole pole mpaka upate uzito ule uupendao

Hizi ni aina za whey protein ambazo tunashauri utumie

Ni whey ambayo ni bora zaidi,ina ladha nzuri zaidi
Hii tunashauri kwa wadada,ni supplement bora zaidi