Fitness Empire

Kitambi kinasababishwa na nini?

Mwili wa binaadamu unaenda na mabadiliko kutokana na mfumo wake wa maisha,kitambi ni kitu ambacho kimekuwa kero kwa watu wengi,na kimekuwa kikisababisha washindwe kufanya vitu ambavyo waliweza kufanya hapo awali

Wamekuwa wazito hata kikazi,kibaya zaidi ni kupoteza mwonekano wa mtu na kumnyima confidence ambayo alikuwa nayo hapo awali

Kila siku tunakula aina mbali mbali ya makundi ya vyakula,na kila chakula kina kazi na matokeo yake katika mwili wa binadamu,makundi hayo ni kama protini,cabohydrate na fat.

Sasa cabohydrate (wanga) ni chakula ambacho kina kazi kuu ya kuupa mwili nguvu,kutengeneza energy (nishati), hivyo inapoingia mwilini huyeyushwa na kutengeneza nishati,kisha mwili huchukua kiasi cha nishati inayohitaji kutokana na kazi zake,na inayobaki huifadhiwa na fat cell kwa matumizi ya baadae kwa muundo wa mafuta/fat, sasa mrundikano wa mafuta ya kila siku ambayo hayatumiki yanaenda moja kwa moja kutengeneza mafuta,sukari pia nayo ni hivyo hivyo,huingia mwilin na kwa lengo moja kama wanga,energy inayobaki huifadhiwa katika fat cells pia

Ushauri wetu ni nini?

Punguza kiwango cha wanga/sukari ama acha kabisa kwa muda,na utumie vyakula vya protini kwa wingi na health fat,ili kuupa ruhusa mwili kuanza kutumia mafuta yaliyorundikana ndani

Panga ratiba yako ya mazoezi angalau mara tatu kwa wiki ukishindwa kabisa

Kimbia au tembea kwa dkk 20 mpaka 30

Utauruhusu mwili wako kujijenga na kutumia mafuta yaliyomo ndani kwa haraka zaidi,itaratibu vizuri mwenendo wa moyo na mfumo wake wote na kukukinga na maradhi nyemelezi

Endelea kuweka mfumo wako chakula vizuri na kula matunda pamoja na maji ya kutosha,

Kumbuka kuwa mara zote mpangilio wako wa kula unapaswa kuwa pyramid,yaani asubuhi unaweza kula chakula kingi,mchana ukapunguza usiku ukapunguza zaidi

Kwa maswali usisite kutupigia

0758728258

0718327776

14 thoughts on “Kitambi kinasababishwa na nini?

 1. I was curious if you ever thought of changing the layout of your
  site? Its very well written; I love what youve got to say.
  But maybe you could a little more in the way of content so people
  could connect with it better. Youve got an awful lot of
  text for only having one or 2 pictures. Maybe you could
  space it out better?

 2. Hello! Do you use Twitter? I’d like to follow you
  if that would be ok. I’m absolutely enjoying your blog and look forward
  to new posts.

 3. Pretty section of content. I just stumbled upon your site and in accession capital to assert that I acquire actually enjoyed account your blog posts.
  Any way I’ll be subscribing to your augment and even I achievement you
  access consistently fast.

 4. Hello! I’ve been following your website for a long time now
  and finally got the courage to go ahead and give you a shout out from Dallas Tx!
  Just wanted to mention keep up the good job!

 5. When I initially commented I clicked the “Notify me when new comments are added” checkbox and now
  each time a comment is added I get three e-mails with the same comment.
  Is there any way you can remove me from that service?

  Appreciate it!

 6. I think what you published was very logical.
  However, what about this? suppose you added a little information? I ain’t suggesting your content is not good., however suppose you added a
  headline that makes people desire more? I mean Fitness Empire is kinda vanilla.
  You ought to glance at Yahoo’s front page and see how they create article headlines to grab people to
  click. You might try adding a video or a pic or two to grab
  people interested about what you’ve written. Just my opinion, it would make
  your posts a little bit more interesting.

 7. Great blog here! Also your web site loads up very fast!
  What web host are you using? Can I get your affiliate link
  to your host? I wish my web site loaded up as fast as yours lol

 8. Thanks for one’s marvelous posting! I certainly enjoyed reading it, you are a great author.
  I will remember to bookmark your blog and may come back sometime soon. I want to encourage that
  you continue your great job, have a nice morning!

 9. Right here is the right blog for everyone who wants to understand this topic.

  You understand so much its almost tough to argue with you (not that
  I actually would want to…HaHa). You certainly put a brand new
  spin on a subject that’s been written about for decades.
  Great stuff, just excellent!

 10. I am curious to find out what blog platform you are
  utilizing? I’m experiencing some small security issues with my latest
  website and I would like to find something more secure. Do you
  have any suggestions?

 11. Can I simply just say what a comfort to discover an individual who genuinely knows what they’re talking
  about on the internet. You certainly understand how to bring a problem to light and make
  it important. More people need to check this out and understand
  this side of your story. I can’t believe you aren’t more popular given that you most
  certainly possess the gift.

Leave a Reply

Your email address will not be published.