Fitness Empire

FAIDA ZA ULAJI WA NDIZI MBIVU {YELLOW BANANA}


Yawezekana bado hufahamu umuhimu na faida za ulaji wa ndizi mbivu /za kuiva. Katika mfumo wako wa kila siku ,Wengi wao huchukulia kama hamu tu bila ya kujua vitu muhimu au faida upatazo utakapo kula kwa wingi Zaidi. Ndizi hizi hupatikana sehemu nyingi sana hapa Tanzania na ni kwa bei nafuu ambayo kila mtu anaweza kuimudu , Ndizi ni nzuri kula Asubuhi ,mchana na hata jioni pia kutokana na virutubisho/viungwa vyake ambavyo husaidia mwili katika kazi mbalimbali na kujenga Afya Zaidi .
Unazifahamu faida zake??


NDIZI zina faida nyingi sana mwili nje na ndani ya mwili kwa pamoja ,faida zake ni nyingi na hasa pale unapozitumia/kula kwa wingi Zaidi,yawezekana ikawa kwenye mlo wa mchana,jioni au baada kifunguo kinywa cha asubuhi,Zifuatazo ni faida za ndizi za kuiva{ yellow banana}
HIZI HAPA FAIDA ZAKE
1: Huimarisha mifupa mwilini
2: husaidia katika kupunguza uzito{weight loss}
3:Ni chanzo kizuri cha vitamin b6 kwa wingi zaidi ,ambazo ni muhimu sana mwilini
4:Husaidia kutengeneza morali hasa ya mazoezi Zaidi
5: husaidia kuimarisha INI na MOYO
6: Ni muhimu na nzuri kwa wafanya mazoezi ya riadha pia
7:Husaidia kupunguza maambuki ya KANSA