Fitness Empire

Dakika 10 za yoga kwa mazoezi ya kupunguza uzito

Haya sasa tuchome hizo kilo chache ambazo zimekuwa kikwazo kwako kwa kutumia mazoezi maalum ya yoga,yoga ni aina nzuri sana ya mazoezi ambayo hutumika kwa ajili ya flexibility,strength(kuupa mina hata pia weight loosing (kupunguza uzito) na kukaza misuli

Je nani anaefaa kufanya haya?

  • Anayeanza mazoezi
  • Watu wanaotaka kuimprove flexibility zao
  • Watu is wanaotaka kutumia yoga kukaza misuli na kupunguza uzito
  • [x] Hapa ni mkusanyiko wa mazoezi hayo na namna ya kufanya

1.BOAT POSE

Nyanyua miguu yako mpaka nyuzi 45 na utumie mikono yako kuhimili uzani wa mwili wako,utapojihisi upo sawa
Nyanyua mikono yako kuelekea nje ya magoti
Kaa kwa nusu dakika

2.Plank pose (phalakasana)

Kaza mikono yako,inua mabega,weka kiuno chako sawia na mwili wako,stay firm and tight,na misuli itafanya kazi iliyobaki

3.bridge variation (seru bandha sarvangasana

Anza kwa kulala chini,kunja mguu na kisha jinyanyue ,nyanyua mguu wa kulia na ugande kama kwenye picha kwa sekunde 30,fanya pande zote mbili za miguu

4.side plank variation (vasisthasana)

Anza kama unafanya planks kisha geuka na kuinua mguu mmoja juu,nyanyua mkono wako mmoja na guda kidole gumba

Lala chini,nyanyua kichwa chako,kifua na mikono juu,tumbo la chini na hips lazima vibaki chini,nyanyua miguu pia
Pozi kwa sekunde 30

5.Super man pause

6.Upward (reverse plank) pose

Anza kwa kukaa,na rudisha mikono yako nyuma
Kidha inuka na ukaze mwili ,hakikisha mwili umekaa namba moja
Pozi kwa sekunde 30

7.half Moon pause (ardha casadrasana)

Simama na inama,mikono shusha chini
Kisha inua mguu mmoja na mkono ulete juu kabisa,keep your leg strait na utulie kwa sekunde 30

8.side plank variation

Anza kama unataka kufanya plank,inua mkono mmoja,laza mguu wa kushoto sambamba na sakafu,kunja gotina ulilete kiunoni,jizuie kwa sekunde 30

9.side Angle pose

Anza kama unataka kufanya squat,kisha nyoosha mguu mmoja ,kunja mkono na kiwiko cha mkono kikutane na goti,nyoosha mkono uliobaki kupitia pembeni ya uso
Kaa kwa sekunde 30

10.Four-limbed staff pose

Lala kama unafanya planks ,shusha mwili wkao ma vuta mikono kurudi nyuma
Inua shingo na tazama mbele
Kaa kwa sekunde 30

Unaweza tazama pia hapa chini mazoezi ya yoga maalumu kwa tumbo tu