Mambo yapi ya kufanya ili kuwa na uzito wa kiafya?

1.PUNGUZA /EPUKA vyakula vyenye asili ya wanga nyingi na sukari 

2.Epuka matumizi ya vinywaji vilivyoongezwa sukari,rangi,kemikali na vionjo mbali mbali

3.tumia matunda kwa wingi

4.tumia vyakula vya mafuta (fats) healthy fats kwa wingi,kama olive oil,karanga,nyama za mifugo yote inayokula nyasi,samaki,mayai,nazi

5.tumia mboga mboga kwa wingi,kupitia mboga mboga mwili wako unaupa viini lishe kama. Magnesium,zinc,folic acid,

B6,B12 ambazo ni nguzo za kiutendaji za shughuli za mwili

6.tumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi nyingi (fiber)

Mboga mboga,chia seeds

7.fanya mazoezi angalau 30 minutes kuendelea

8.Epuka ulaji hovyo

Tumia chakula kama tunavyoelekeza,kufanya hivyo utaufanya mwili wako kutumia mafuta au *ketone bodies* badala ya glucose na kuufanya mwili kuwa wenye nguvu,lishe hii hushusha mafuta mabaya na kuongeza utendaji kazi mwilini.

9.pata usingizi wa kutosha

Upumzishe mwili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *