unawezaje kugundua tabia za watu mapema kabla ya madhara?

“kuna njia tatu za kuwajua|kuwafahamu watu

1.kwa kuwatazama – unaweza kuelewa ni watu wa namna gani kwa kutazama lugha za miili yao (kuanzia lugha,macho,sura na namna wanavyovyaa)

2.namna wanavyozungumza – utawaelewa watu kutokana na aina ya maswali wanayouliza, vitu wanavyozungumzia wakati mwingi, unaweza kuwauliza maswali ambayo yatagusa vile wanavyovipa uthamani zaidi,

3.kile wanachofanya

mtu anapozungumza mara nyingi hugusia namna ambavyo anataka kuwa,lakini fahamu ni kile wanachofanya ndio hutathmini watakua wakina nani,unapoangalia matendo yao utahitaji muda pia,angalia namna wanavyomtreat  mtu mwenye mamlaka (power),lakini muhimu zaidi angalia namna wanavyomtreat mtu wa daraja la chini kikazi/kipato mfano waiter 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *