Mambo sita ya kufanya kabla ya saa mbili asubuhi

1.Tafakari (meditate)

Hili ni la kwanza na muhimu kufanya,haijalishi dini yako ni ipi,chukua muda wako kutia taswira kwa yale yote unayoshukuru,Mshukuru Mungu,na litathmini ambalo ungependa Kulikamilisha siku ya leo

2.Fanya mazoezi (exercise)

Tumia hata nusu saa japo kujinyosha/kupiga push up au kuruka kamba na kuuweka mwili tayari kwa siku mpya

3.kunywa maji

Kunywa glass moja ya maji kila asubuhi

Utauwela mwili vizuri,na kuaanda kupokea chakula kingine

4.Andika chini ambayo ungependa kufanya siku ya leo

Ni muhimu zaidi

Na itakupa wasaa wa kupanga ratiba yako ya siku vizuri

5.Panga na weka vipaumbele vyako vya siku 

Hii itakupa nafasi ya kuwahi kukamilisha mambo yako yote ambayo ni ya msingi zaidi

6.kula kifungua kinywa

Tumia chakula kizuri,kahawa,maziwa au hata matunda na ujiandae kwa siku yenye matokeo chanya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *