Je unazifahamu protini zinazotokana na mimea?

Kama tujuavyo protein zina kazi kubwa mwili kujenga misuli (muscles)

Na si lazima kula nyama pekeake ili kupata protein katika mpangilio wako wa chakula

Na ni kweli kuna mimea,jamii ya mikunde,mbegu ambazo zinaweza kuupa mwili wako protein ya kutosha

Na ni vizuri kubalance mlo wako kwa matunda ya kutosha,mboga mboga,mbegu jamii ya mikunde ,njugu aina zote,mbegu mbegu ,soya pamoja na nyama 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *