Je matunda yote ni salama kwako?

wewe kama ni mmoja kati ya watu ambao wanafata mpangilio wa matumizi ya vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga basi hii inakusu sana 

haya ni makundi ya matunda yenye kiwango kidogo cha wanga ambayo yanafaa kuwa katika bakuli lako la chakula na kukufanya usinenepe hovyo

viwango vimepimwa katika gram moja

tukumbuke matunda ni muhimu kwa afya yetu kwasababu yanatupa  vitamini,madini muhimu pamoja na fiber (nyuzi nyuzi) ambayo ni muhimu sana kujenga miili yetu kiafya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *